Translate

Sunday, 12 July 2015

Jinsi ya kuita na kumtumia jini/majini

Jinsi ya kumwita jini na
kumuamrisha unavyotaka
JINSI YA KUMWITA JINN NA
KUMUAMRISHA UNAVYOTAKA
Jinn ni kiumbe kama ulivyo wewe
ameumbwa na anaishi na anakufa
pia.Wanasaidiana na binadam
kwenye mambo mengi na shughuli
kadha wa kadha ila kwa leo sipo
hapa kueleza jinsi ya kuumbwa
kwao na vile wanavyoishi au vitu
wanavyokula na maisha yao kwa
ujumla kwa sababu imeshaalezwa
mara nyingi tu hapa Jamiiforums
maisha yao kiuhalisia ukitaka
kufaham hivyo vitu waweza
kutafuta THREADS nyingi tu
ambazo zimewazungumzia hawa
viumbe lakini hapa tutaelezana
jinsi gani ya kuweza kumwita JINN
na kumuamrisha utakavyo
ikiwemo methods au formula za
kutumia kwa mana hata
ukimuhitaji binadam hawezi kuja
tu mpaka umwite na hata kitu
chochote kina taratibu zake pia ila
cha ajabu binadam wengi
wanawaogopa hawa viumbe lakini
kiukweli wao ndio wanatuogopa
sana sisi ila tu pale
utakapomuonyesha kuwa
UNAMUOGOPA utampa mwanya
kwa sababu umemuonyesha wazi
kuwa unamuogopa na hii ni
kiumbe yoyote yule hata mbwa
ukionyesha unamuogopa utaona
matokeo yake,soma hapa JE WEE
NI MUOGA sasa bila ya kupoteza
muda hebu tujifunze...
JINSI YA KUMWITA JINN NA
KUMUAMRISHA UTAKAVYO
HATUA YA AWALI
ANDAA VITU VIFUATAVYO ;-
I.] Mishumaa 3
MWEUPE,MWEKUNDU ,MWEUSI.
II.]Bakuli Nyeupe ya Udongo (any
size).
III.]Kioo cha kujitazamia.
IV.]Kiberiti cha njiti kipya.
V.]Pete aina yoyote.
MISHUMAA.
Mshumaa mweupe na mweusi
inawakilisha UWEZOHURU NA
TABIA YA JINN aidha ni muovu au
ni mwema na pia huwakilisha
ULIMWENGU wetu wa kibinadam
na ULIMWENGU wao wa kijini.Na
mshumaa wa tatu ambao
ni MWEKUNDU humuwakilisha
JINN
BAKULI JEUPE LA UDONGO.
Bakuli hili utalitumia kuweka
zawadi yake pale atakapokuja liwe
bakuli la udongo lisilo na
maandishi wala michoro au
marangi rangi.
KIOO CHA KUJITAZAMIA.
Kioo kinatakiwa kiwe kikubwa
kiasi mfano wa karatasi ya A4 au
zaidi kioo hiki kinatumika
kuwakilisha ULIMWENGU MBILI
wao na wetu hivyo kioo hutumika
kuakisi ULIMWENGU WETU na
ULIMWENGU WA KIJINI hivyo
kinatakiwa kiwe kikubwa kiasi.
KIBERITI CHA NJITI SIO GAS
LIGHTER.
Kiberiti kinatakiwa kiwe kipya
kabisa hakijatumika hata kidogo
hivyo ni bora ukanunua kiberiti
dukani maalum kwa ajili ya
kuwashia mishumaa yako.
PETE YA AINA YOYOTE ILE.
Pete inayoshauriwa kutumika
hapa ni vizuri kama utapata pete
ambayo inakuhusu nikiwa na
maana uwe umeshaivaa angalau
hii inapendeza zaidi kwa mana
itatumika kuingiza uhusiano kati
yako na JINN atakayekuja kwa
sababu ataingia kwenye hiyo Pete
kwa kuwa Pete hiyo inahusiana na
wewe basi uhusiano wenu
utajengwa kuanzia kwenye Pete
hiyo.
HAKIKISHA UKO MSAFI
Hakikisha uko safi umeoga ila
usitumie sabuni yenye harufu
wala shampoo kama tulivyosema
mwanzo kuwa harufu nyingine
hawapendezewi nazo
zinawarudisha tumia maji ya
kawaida tu inatosha.
ANDAA ENEO LAKO VIZURI
Hakikisha umeshaandaa eneo lako
kama ilivyoelekezwa hapo juu
ukishaona lipo sawa.Vaa mavazi ya
kawaida zingatia usivae mavazi
yanayobana mwili wako uwe
comfortable na mahali
utakapotumia pawe kimya kabisa
bila ya kelele au bughudha yoyote
chomoa radio au television pia
zima na hata mwangaza wa taa
unashauriwa kuizima haihitajiki
chumba kiwe na giza kabisa
HAPANA kisiwe giza ila yahitajika
kiwe na mwangaza wa asili tu
unaotokana na jua.Hii ni ukweli
kwamba viumbe hawa huogopa au
hawapendi hivi vitu vya umeme
ikiwemo Taa,Radio na hata TV kwa
hiyo havina ulazima wa kuviwasha.
NINI CHA KUFANYA
-Kaa sehemu uliyoiandaa kwa ajili
ya kufanyia zoezi lako miguu yako
ikiwa umeikunja kwa mtindo wa X
sio ukalie miguu halaf makalio
yawe juu ya miguu hapana
inatakiwa uikunje miguu ikiwa X
na ukalie makalio kama wakaavyo
wafanya meditation (cross
legged).
-Weka kiberiti chako karibu na
chukua kioo chako kiweke mbele
yako kikutazame pamoja na
mishumaa yako mitatu iweke kwa
mpangilio kutoka kushoto kwenda
kulia anza na
MWEUPE,MWEKUNDU,MWEUSI
ukitoka ulipokaa ifate mishumaa
halaf kioo kiwe mbele kidogo
hivyo mishumaa iwe inaonekana
kwenye kioo.
-Bakuli ndio kitu kinachofuata
hakikisha unaliweka katikati ya
mshumaa mwekundu yani bakuli
liwe mbele ya mshumaa
mwekundu hivyo bakuli lako
litakuwa katikati ya mishumaa na
kioo kwa hiyo vyote viwe
vinaonekana kwenye kioo.
-Pete au Saa hutumika kumnasa
JINN utakayemuita na
kumuamrisha na ataingia ndani ya
Pete au Saa na inashauriwa sana
sana hiyo Pete au Saa viwe
vinahusiana sana na wewe yani
uwe unaivaa au umeivaa japo
mara kadhaa ili kuleta uhusiano
wa karibu zaidi baina yako na
JINN kupitia Pete hiyo kwa vile
inahusiana na wewe.
Baada ya hapo unatakiwa kujiweka
kweli hali ya ku-relax na kuwa
huru kisha tazama kioo chako na
ukiangalie wakati unaendelea
kukiangalia unatakiwa kuvuta
pumzi ndani,vuta kabisa pumzi
kubwa na ya kutosha kabisa kisha
ibane mpaka pale utakapoona
mwenyewe kuwa unahitaji
kuiachia basi iachie ila usiiachie
kwa mara moja au kwa ghafla
unatakiwa kuiachia taratiiiibu
mpaka yote iishe,rudia tena
kuvuta pumzi kwa jinsi hiyo
mpaka uhakikishe kuwa umevuta
mara 20 zote zikiwa ni pumzi
ndefu kabisa (deep breaths).
BAADA YA MAANDALIZI HAYO,SASA
ANZA
Hayo juu yalikuwa ni
maandalizi,kujiweka sawa na
kujitayarisha sasa waweza kuanza
kwa kuchukua kiberiti chako na
kuwasha mishumaa yako kwa
kutumia NJITI MOJA TU na isizidi
hiyo hivyo hakikisha umezima feni
na sehem iliyopo imetulia na
hakuna upepo,tumia NJITI MOJA
kwa kuwasha kwanza mshumaa
MWEUPE kisha MWEUSI halaf
ipulize njiti yako kwa upepo wa
taratiiibu tu mpaka izimike na
uiweke pembeni.
Sasa ikiwa kama alama ya
KITUKUFU ya kukutanisha na
kuchanganya ZURI NA BAYA NA
BAYA NA ZURI ili kuweka uwiano
na usawa kati ya vyote viwili ili
kutengeneza UWEZOHURU chukua
mshumaa MWEUPE kwa mkono
wako wa KUSHOTO na mshumaa
MWEUSI kwa mkono wako wa
KULIA yote kwa pamoja ili
uwashe MSHUMAA
MWEKUNDU hakikisha
unagusanisha moto wa huku na
huku kuwasha mshumaa wa
katikati ambao ni MWEKUNDU .
Baada ya kuwasha mshumaa
mwekundu rudisha mishumaa
yako sehemu ilipokuwa
mwanzo,ikiwa tayari yote inawaka
sasa rudia kuisoma ile ARABIC
PHRASE uliyoiandika ubavuni mwa
mshumaa mwekundu kujikinga na
shetani au JINN yoyote mbaya au
muovu ili aje aliye mzuri na
mwema tu,soma phrase hii mara 9
(NAMBA 9 NI NAMBA MUHIMU
SANA,KATIKA DINI YOYOTE ILE
JINN ANAYOFATA NI LAZMA KUWE
NA UTATU MTAKATIFU,HIVYO 9 NI
SAWA NA TATU YENYE UTATU
NDANI YAKE AMBAYO NI SAWA
UTATU MTAKATIFU) maneno
unayotakiwa kuyasema mara 9 ni
haya hapa tena "A'OO THU
BILLAHI MIN ASH SHAITAN
ARRAJIM" .
Mara tu utakapomaliza kusema
maneno hayo yatawafanya MAJINI
wasikie na watambue kuwa kuna
kiumbe anawahitaji na anahitaji
kuwasiliana nao na mara moja
watakuwa tayari kuskiliza
unachosema na KUTII kile
utakachowaambia watakauwa
tayari pia kukipokea bila ya
kukipinga.
Hapo hapo utaanza kuskia hali
tofauti kwenye mwili wako aidha
utahisi kibaridi au kijoto kidogo
au hali yoyote ambayo ni ya
kawaida tu ikitokea hali hii
USIOGOPE hiyo ni kawaida ni moja
kati ya njia za MAJINI kukujulisha
uwepo wao na kukujulisha kuwa
tayari ameshafika hawezi kuja
ukamuona LIVE hapana utahisi tu
kuwa tayari dalili kuwa yupo
chumbani.
Mwili wa binadam kwa kawaida
una nishati ambayo JINN
huipenda sana na nishati hiyo ni
nywele na ndio mana unaweza
hata ukachana nywele kwa shanuo
la chuma na ukaona kama cheche
hivi kwenye nywele au utaskia
watu wakisema "NYWELE ZANGU
ZIMESISIMKA" nywele zina nishati
kwa kawaida sasa kwa kuwa JINN
hupenda sana nishati hiyo hivyo
basi HII ndio itakuwa zawadi ya
kumpa,unywele mmoja.
Katika hali hiyo ya kuhisi uwepo
wake tayari unatakiwa
kumwambia maneno haya
hapa "NAHITAJI KUZUNGUMZA NA
WEWE KIFALME NDO MANA
NIMEKWITA HAPA,NAKUZAWADIA
NGUVU INAYOTOKANA NA MIMI
KWA VILE UNAVYOTAMANI KWA
KUBADILISHANA NA UWEZO
WAKO" pindi usemapo maneno
hayo chomoa unywele wako
mmoja na uuweke kwenye bakuli
lako kisha tulia kidogo kama
sekunde tano hivi,sasa chukua
Pete au Saa yako ambayo unataka
wapi aingie kati ya hivyo viwili
kama ni Pete haya chukua Pete
yako pia uiweke kwenye bakuli
lako kisha rudia maneno haya
mara tatu "NAKUAMRISHA UINGIE
KWENYE HII............UKAE HUMO
NA UBAKI HUMO","NAKUAMRISHA
UINGIE KWENYE HII............UKAE
HUMO NA UBAKI
HUMO","NAKUAMRISHA UINGIE
KWENYE HII.............UKAE HUMO
NA UBAKI HUMO" kisha tulia tena
kwa sekunde tano.
Baada ya hapo nyanyua mshumaa
wako MWEUPE upulize uzimike
kisha nyanyua mshumaa MWEUSI
pia upulize uzimike hii
inawakilisha kuzima au kuondoa
nguvu za UWEZOHURU alionao
JINN na kukufanya wee kuwa
MASTER wake au MKUU wake
ukiwa unauacha mshumaa
mwekundu ukiendelea
kuwaka,chukua Pete au Saa yako
ndani ya bakuli na uiweke
pembeni ilipokuwa mwanzo halaf
chukua unywele wako uliopo
ndani ya bakuli kwa umakini
kabisa uweke unywele huo au
uunguze unywele huo kwenye
moto wa huo mshumaa mwekundu
unaoendelea kuwaka.
Mara tu utakapomaliza kuuunguza
unywele huo basi zawadi itakuwa
imeshafika mahala pake kwa
kuunguzwa na moto wa mshumaa
mwekundu kama tulivyoona mara
ya kwanza kuwa mshumaa
mwekundu unamwakilisha JINN
hivyo kwa kumpa zawadi hiyo
ataendelea kukaa na kubaki ndani
ya Pete au Saa ambayo
umemuarisha wewe
aingie,ukishahakikisha kuwa
nywele imeungua yote.

posted from Bloggeroid

5 comments:

  1. Enter your comment... can I do it in the morning

    ReplyDelete
  2. Shkrn sana kw maarifa yako mazuuri yenye kutwelimisha nakutufungua ktk kuwajua hao viumbe namn ambavyo tunaweza kushilikiana nao mungu akulipe kila la kher amiina

    ReplyDelete
  3. Ukishavifanya vyte ivo mpka ashaingia kwa Pete....kaa unatka pesa utasmaje

    ReplyDelete
  4. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI.

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajiri ni hazina kutoka kwa mwenyezi Mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)

    CALL/WHATSUP +255 742162843

    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM NA NAFUU KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga +255742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE +255742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU

    ReplyDelete

Popular Posts

Contact Us

Name

Email *

Message *

About Author (Do Not Edit Here!)