Translate

Sunday, 12 July 2015

Kuita jini/majini

Jinsi ya kuita JINI na kumfanya RAFIKI,
MPENZI au MSAIDIZI.
Naam, nimekuja tena kupamba
jukwaa kwa aina ya pekee kabisa.
Nadhani mmewahi kusikia juu ya
hawa viumbe wanaoitwa MAJINI.
Mmesikia stori mbalimbali kuwahusu
lakini leo sio stori tena na vitendo.
Hawa ni viumbe wanaoishi ktk
ulimwengu wao wa majini. Kuna geti/
lango kubwa sana linalotenganisha
dunia yetu na wanayoishi wao.
Leo nitawafafanulieni namna ya
KUTENGENEZA JINI na umtumie kama
rafiki, mpenzi au msaidizi wako pasipo
kukudhuru.
MAHITAJI/VIFAA.
-Udi 4 (4 incense sticks).
-Pete, cheni. (ring or chain).
-Mishumaa 3. mweupe, mweusi na
mwekundu.
-Muda ni saa 6-10 usiku mwezi ukiwa
mpevu.
-Chumba tupu na kisafi.
-kioo.
-lipstick nyeusi/nyekundu.
HATUA ZA KUFUATA.
1. Ingia ktk chumba ulichoandaa ktk
muda ulitajwa hapo juu ukiwa na vifaa
vyote. Choma udi yote kisha toka nje
hadi imalizike kuungua kisha rudi tena
chumbani.
2. Kaa sakafuni kisha pangaa
mishumaa yako mbele yako kwa
kufuatana ukianza kushoto kwenda
kulia. Anza na mshumaa mweupe,
mwekundu kisha mweusi(nafasi kati
ya mshumaa hadi mshumaa ni inchi
6(6 inches).
3. Sema maneno haya mara 6 "ALLAH
SHAFIM BARAT SHIU KAMIR". Maneno
hayo hutumika kufungta geti la kule
ulimwengu wa majini. Hapo unakuwa
umefungua geti tayari.
4. Washa mishumaa yako ukianza na
mweupe, mweusi kisha mwekundu.
(kila rangi ina maana yake, nyeupe
inasimama badala ya amani, nyeusi ni
ulimwengu wa kijini na nyekundu ni
made material yao kwani
wameumbwa kwa moto).
5. Chagua aina ya jini umtakaye na
jinsia yake. Chukua kioo chako sasa
kisha andika maneno haya katikati ya
kioo kwa kutumia lipstick yako, "ALI
ALLAH HAMAL JINNI". Kisha kisha
andika jinsia yake MUSCHNA(Kwa jini
wa kiume) au VAMIR(kwa jini wa kike).
Kisha andika AL AMANI(yaani awe wa
amani). Mwisho aina ya jini kama vile.
*MAJIRR AL AMAR(huyu ana nguvu
sana), * AL AMAR(huyu ni wa pili kwa
nguvu). *SUL AL AMAR(ana nguvu za
wastani) au CLOSUN ONTEI(ana nguvu
dhaifu).
6. Ukimaliza kuandika tu maneno
hayo ktk kioo JINNI atakuwa ktk
chumba chako na utaona kama kuna
mtu vile lakini hutomwona. Utahisi
harufu ya manukato, kupumua na
sense kama kutembea nk.
7. Mwamrishe aingie ktk pete au
mkufu ulioandaa kwa kusema
maneno haya "EWE JINI NAKUAMURU
UINGIE KTK PETE/MKUFU HUU". Kisha
nyofoa nywele yako moja ya kichwami
na uichome kidogo kidogo ktk
mishumaa yako inayoendelea kuwaka
kwa dk. 1-2.
8. Mfungie ktk pete kwa kusema mara
3 maneno haya "EN TIEN ALLAH
CLMAN".
9. Zima mishumaa yako kwa kuanzia
mwekundu, mweusi kisha mweupe.
Futa maneno uliyoandika ktk kioog.
Hapo pete yako au mkufu wako
utakuwa na JINNI na namna ya
kumtumia nitawajuza baadaye.

2 comments:

  1. Enter your comment... najiunga na majini ni jua kuaita

    ReplyDelete
  2. KUMTULIZA MKE/MME WAKO MTIMIZE MALENGO YENU.

    ASALAAM WAALAYKUM/ HABARI ZENU NYOTE

    LEO natoa somo Kwa ufupi sana kuhusu mahusiano,
    Kila mtu ana haki ya kupendwa pia kupenda kulingana na mzunguko na harakati za maisha watu wengi wamejikuta aidha kwa wanaume na wanawake wote Kwa ujumla kudharauliwa, kuteswa, kunyimwa unyumba, kupuuzwa na hata kuchepukwa na wake au wachumba zao bila hata hofu yoyote hii ikipelekea familia nyingi au ndoa nyingi kuvunjika na nyingine kuishi bila amani na raha.

    Mwanamke/mwanaume au Binti au kijana unaesoma huu ujumbe husikubali mtu ambaye unamalengo naye kumpoteza hivi na wakati Kwa mwanaume tunatafuta Ili familia zetu zifurahi na mwanamke unaishi Ili kulitunza nyumba au watoto wako.

    Kimekuwa na watoto wengi mitaani kisa wababa kukimbia familia na wamama sikuhizi kukimbia mpaka watoto kwanini usumbuke Dokta Mdiro nakuletea dawa ya KUMTULIZA mme/MKE/mchumba/ au umpendae dawa hii ni tofauti na Limbwata na Haina madhara katika Afya ya akili wana mizunguko ya kilasiku Kwa mhusika
    Dawa hii ya ZIKA HABA Itamfanya umpendae
    AKUPENDE
    AKUSIMILIZE
    AKUHESHIMU
    ASICHEPUKE
    KUKUFANYA KUWA WA KWANZA KWAKE
    Muweze kupanfa mambo yenu na kutimiza mambo yenu ya kimaisha

    Siku zote kumbuka DOKTA MDIRO anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto Mali na Ndagu.

    Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

    Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.

    Basi chukua hatua ya kuwasiliana na DOKTA MDIRO
    CALL/WHATSUP
    +255 742162843

    ReplyDelete

Popular Posts

Contact Us

Name

Email *

Message *

About Author (Do Not Edit Here!)